Friday, September 8, 2017

HABARI NJEMA KUHUSU MHESHIMIWA TUNDU LISSU KUTOKA HOSPITALI ANAYOTIBIWA NAIROBI KENYA


Mh Tundu Lissu ametolewa salama katika chumba cha upasuaji baada ya Masaa 7 tangu saa nne asubuhi hadi sasa saa kumi na Moja jioni na upasuaji umefanyika kwa mafanikio hivyo yupo Executive ICU kwa uangalizi wa karibu zaidi. Tutaendelea kuwajuza. Na tunawahakikishia kuwa madaktari wametueleza hakuna tishio lolote kiafya yuko macho na fahamu zote na hii ndio ilikuwa hatua ngumu na Mungu ametupitisha hivyo tuendelee kumuombea apone haraka.

Hemedi Ali
Mkuu wa Idara ya Uenezi CHADEMA.
Nairobi Hospital

No comments:

Post a Comment