Saturday, October 22, 2016

PICHA ZA KIKAO CHA KAMATI KUU CHADEMA

Meza Kuu ya Kikao cha Kamati Kuu kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Mjumbe mwingine wa Kamati Kuu, Wakili Mabere Marando wakati wa Kikao cha Kamati Kuu, kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mh. Freeman Mbowe (kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu Wakili Mabere Marando wakati wa Kikao cha Kamati Kuu, kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

No comments:

Post a Comment