Saturday, January 23, 2016

KAULI YA CHADEMA BAADA YA KUAHIRISHWA UCHAGUZI WA MEYA WA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Kaimu Katibu Mkuu Salum Mwalimu akiongea na waandishi wa habari leo Jumamosi 23/01/2016 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam mara baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es salaam bila kutolewa sababu za kuahirishwa kwa uchaguzi huo leo.


No comments:

Post a Comment