Friday, July 24, 2015

MATOKEO YA KURA ZA MAONI1 comment:

  1. Washindi kwa sasa hongereni.! wasio na hoja huku wanatafuta kuziba nafasi za wanachadema wasiwadanganye!. wanatumia jina la Yesu, Musa nk. kujidai wao ni wazuri! Ni dhambi kuhukumu wengine kumbe wewe umeoza hata huwezi kusogeza mlima. Waliokata tamaa ndani ya CCM kwa ajili ya viwango vyao duni (VIDU) wasimdanganye mtu eti wanakuja na ukombozi wa Israel. Waliwatukana sana Chadema sasa wanakuja kulamba matapishi yao. Wapeni gwaride kwanza wafanye malipizi ! kama wanamfuata mtu basi wamelaaniwa,kwa kadri ya neon, na hayo si mapenzi ya CHADEMA. walikuwa wapi????

    ReplyDelete