Monday, July 27, 2015

LOWASSA AKIWA NDANI YA KIKAO CHA KAMATI KUU CHADEMA



6 comments:

  1. Lol! kweli chadema mmekwisha!!!! uwapi usafi mnaotuhubiria kila siku! yaan ninyi kumpokea lowasa mmetukosea wanainch tunaowaunga mkono.labda awe kama wanachama wengine lakingi si mgombea.na mkumbuke huyo ni ccm Damu.atawafanya alichowafanyia shibuda..lol mmetukatisha tamaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. umesha wahi kuisoma katiba ya chadema ukaona inazungumza vipi kuhusu sifa za kiongozi wa chama?Tanzania kuna vyombo vyenye kupingana na rushwa (takukuru) na chombo cha kusimamia maadili ya viongozi wa serikali.Je kati ya hivyo kuna chombo chochote kilicho mchunguza lowassa na kuona anahusika katika rushwa aukavunja maadili ya viongozi serekalini?Unapotoa hoja hasa kwenye mitandao ya kijamii fanya uchambuzi yakinifu ili uje na hoja zenye mashiko na si kupotosha jamii

      Delete
    2. umesha wahi kuisoma katiba ya chadema ukaona inazungumza vipi kuhusu sifa za kiongozi wa chama?Tanzania kuna vyombo vyenye kupingana na rushwa (takukuru) na chombo cha kusimamia maadili ya viongozi wa serikali.Je kati ya hivyo kuna chombo chochote kilicho mchunguza lowassa na kuona anahusika katika rushwa aukavunja maadili ya viongozi serekalini?Unapotoa hoja hasa kwenye mitandao ya kijamii fanya uchambuzi yakinifu ili uje na hoja zenye mashiko na si kupotosha jamii

      Delete
  2. Nafurahi kuona viongozi wengi hasa wa ngazi ya juu wakitoka chama cha CCM na kujiunga na Chsdema.Hii itasaidia kuongeza nguvu za kisiasa ili kuondoa chama chenye mifumo ya kiunyonyaji na isiyozingatia maamuzi ya wananchi.Nawasihi viongozi wa juu wa chadema na Ukawa kwa ujumla kumuweka raisi atakaye kubalika na wananchi ili tushike dola na kubadili maisha ya watanzania kwa kutumia sera makini za chadema na ukawa kwa ujumla.Karibu sana lowassa,tujenge chadema kwa maendeleo ya nchi yetu
    By Elibariki Elisafisha Makundi mwana harakati

    ReplyDelete
  3. Ndugu waunganisha nguvu kwa manufaa ya waTanzania. Nina. Imani kabisa mgombea huyo wa nafasi kuu hatatamkwa UKAWA kwani hicho bado sio chama kililichosajiliwa. Tusibweteke..

    ReplyDelete
  4. Pamoja na kwamba imedhihirika, tatizo kubwa la Rushwa, Umimi na Kutowajibika kwa viongozi wengi wa Kisiasa na Kiutawala, linatokana na MiFUMO, rasmi na isiyo rasmi; hususani Katiba, sheria na taratibu legelege na ya "Kimtandao"; lipo tatizo kubwa zaidi sana ndani ya NAFSI za viongozi wachache hasa wanaopigania nafasi za juu.

    UBINAFSI uliyojikita katika NAFSI umejidhihirisha katika michakato mingi ya Changuzi Tanzania kuanzia 1995. UBINAFSI uliyozaa CHUKI na UPENDELEO usiyo na tija kwa Mwananchi wa kawaida na kwa washindani. UBINAFSI ulioleta maangamizi kutokana na MALIPIZI-CHUKI (Vengeance) ambayo yamejitokeza hata katika mchakato ndani ya moja ya Chama hivi karibuni. MALIPIZI-CHUKI kutokana na NAFSI kutoridhika na hatima ya mchakato, na matamshi ya baadhi ya Wagombea washindani.

    Je? Viongozi, Chama CHADEMA inatudhihirishia vipi, sumu hii haita tanda iwapo wananchi watawapa ridhaa ya Uongozi wa Taifa? Hasa kutokana na wahamiaji kuwa wengi na wenye kutaka nafasi za uongozi kupitia chama hiki?

    ReplyDelete