Sunday, July 26, 2015

KAMATI KUU YA CHADEMA YAITISHA KIKAO CHA DHARURA LEO JULAI 26, 2015

Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama imekutana leo Julai 26, 2015, jijini Dar es Salaam kwenye Kikao Maalum cha dharura kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na;


1. Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi mkuu.

2. Kupokea taarifa za mchakato wa kura za maoni na uteuzi wa awali wa nafasi ya ubunge wa majimbo na ubunge wa Viti Maalum zinazoendelea nchi nzima.


Taarifa zaidi kuhusu kikao hicho zitatolewa hatua ya baadae.


Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA

2 comments:

  1. Tunawatakia kila jema, pamoja sa sana mpaka kieleweke mwaka huu!

    ReplyDelete
  2. Mwanza wametukatili ... wamekata umeme

    ReplyDelete