Sunday, June 21, 2015

MBOWE, NDESAMBURO NA JAPHARY WATIKISA MOSHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway
mjini Moshi .

Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomu .
Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo ,wakimsikiliza mstahiki Meya,Jafary Michael (hayuko pichani).Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimkaribisha Mwenyekiti wa Chadema taifa ,Freman Mbowe kuhutubia wananchi katika viwanja vya Railway mjini Moshi

Endelea...Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi.


No comments:

Post a Comment