Msafara wa pikipiki na
magari mjini Katavi leo wakati wanachama, mashabiki, wapenzi na wafuasi wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walipojitokeza kwa wingi kumpokea
Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Willibroad Slaa ambaye yuko kwenye ziara ya mikoa
ya Mbeya, Rukwa na Katavi akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa mfumo
wa BVR, kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye Daftari la Kudumu
la Wapiga Kura huku pia akikagua maandalizi ya chama kwenda kushinda uchaguzi
mkuu mwaka huu.
No comments:
Post a Comment