Thursday, April 23, 2015

PROGRAMU YA MAFUNZO KUKIANDAA CHAMA KUSHINDA DOLA, KUONGOZA SERIKALI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalim akizindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CHADEMA kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali katika uchaguzi mkuu ujao



1 comment: