Friday, April 17, 2015

Dr. W. Peter Slaa kuunguruma Voice of America (VOA) Kesho April 17, 2015

Mahojiano na Voice of America (VOA)

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wibroad Slaa Anatarajia kufanya Mahojiano na  Voice of America (VOA) kesho April 17, 2015 saa 12:30 Asubuhi (6:30am) saa za Africa Mashariki.
Leo April 16, 2015 saa 5:30 usiku (11:30pm) saa za USA Mashariki.

Kusikiliza kupitia internet fuata link hii 
http://tunein.com/radio/Voice-of-America-Swahili-s17850/


No comments:

Post a Comment