Saturday, February 21, 2015

Dr Wilbroad Slaa kuhutubia Mkutano mkubwa katka viwanja vya Dovya Sokoni Temeke siku ya Jumapili Tarehe 22/Feb/2015

Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatarajia kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara siku ya jumapili ya tarehe 22/2/2015 katika viwanya vya Dovya sokoni Temeke Makangarawe. Dr Wilbrod Slaa akiongozana na viongozi mbalimbali wa taifa pamoja na Mbunge mtarajiwa wa temeke mh Benard Mwakyembe. Kwa mawasiliano zaidi jinsi ya kufika uwanjani piga namba 0658-261-309 au 0713-826-112


No comments:

Post a Comment