Thursday, March 20, 2014

YALIYOJIRI KALENGA KWENYE UCHAGUZI WA UBUNGE

1 comment:

  1. hii hatari mambo hayo kutokea nchini mwetu, sasa huyu dadayetu mbona kasema uchaguzi umeisha salama na kuna walio jeruhiwa kidogo huko ina maana hakuwa na habari kuna waliotekwa karibia wauwawe? na amefanya nini kuwafariji na kutoa aibu iliotokea wageni waliokuja kusaidia yeye ashinde karibu wafe?na akigombea tena watu watajitolea tena?ni bora aonane na mshindi huyo mgimwa amweleze amehusikaje na huo utesaji maana ametajwa hao walioteswa ni wageni wake huyo dada sasa wanaondoka ashughulikie hilo swala, aibu sana watu wana roho za unyama

    ReplyDelete