Saturday, February 8, 2014

VURUGU ZATOKEA CCM, CHADEMA KATA YA MPWAYUNGU .

Wachapana Mapanga na Bastola
 
VURUGU zimetokea Kata ya Mpwayungu, Wilaya ya Chamwino Ikulu mkoani Dodoma, baada ya Wanachama na Wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukatisha kwenye Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kusababisha kupigana Mapanga na Bastola.

Watoa taarifa wetu bado wanakusanya taarifa kamili na baada ya kupatika zitawekwa wazi ikiwa ni pamoja na picha tukifanikiwa kuzipata, kutokana na eneo hilo kutokuwa na mawasiliano ya simu isipokuwa sms.
Mwayungu ni moja kati ya Kata 27 nchini zitakazofanya uchaguzi kesho Jumapili  Januari 9, 2014.

No comments:

Post a Comment