Friday, January 24, 2014

TASWIRA ZA OPERESHENI PAMOJA DAIMA KUTOKA KYELA NA MBAMBABAY

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Akihutubia wakazi wa Kyela, Mbeya katika ziara zinazoendelea za Operesheni Pamoja Daima

Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akihutubia wakazi wa Kyela Mbeya

Dr Slaa wakati anaagana na wakazi wa Mbambabay




Dr Slaa akimnadi Mgombea wa Udiwani


No comments:

Post a Comment