Kamati Kuu ya CHADEMA imemaliza kikao chake maalum kilichoanza jana Januari 3, 2014, jijini Dar es Salaam.
Kamati Kuu imetoa magizo kwa Sekretarieti yake, ambayo itakutana kesho Makao Makuu kuandaa na kutoa tamko juu ya maamuzi ya kikao hicho mbele ya wahariri, waandishi waandamizi na waandishi.
Tunatumia fursa hii kuwaalika nyote kwenye press conference hiyo itakayofanyika kesho Januari 5, 2014.
Makene
0752 691569
No comments:
Post a Comment