Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na
Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti
Zanzibar, Said Issa Mohamed wakati wa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu.
Je mlimjadili Zitto au mlifuata haki?
ReplyDelete