MWENYEKITI wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani
Bungeni, Freeman Mbowe, akimjulia hali Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho
Mkoa wa Iringa, Chiku Abwao jana. Mbunge huyo amelazwa Hospitali ya Taifa
Muhimbili, baada ya kufanyiwa operesheni ya mguu, hivi karibuni. Hadi jana Bi.
Abwao alikuwa anaendelea vizuri, akipata matibabu.
No comments:
Post a Comment