Sunday, December 2, 2012

Wenje atikisa Geita, amvalisha Gwanda mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya

Mjumbe wa kamati kuu ya CDM amewavutia maelfu ya watu katika mji wa Geita kwa hotuba yake hadi kupelekea watu wengi kumkabidhi kadi za CCM akiwemo kada maarufu na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Geita ndg Sunzu Ntinonu.Akihutubia leo jioni katika uwanja wa Magereza, aliwaambia waalimu,manesi na maaskari polisi kuwa iwapo CDM itaingia madarakani watawezeshwa kununua bidhaa katika maduka maalum ambayo yana msamaha wa kodi kama yaliyopo katika kambi za JWTZ.


No comments:

Post a Comment