Tuesday, August 21, 2012

MKUTANO WA CHADEMA NCHINI UINGEREZA


TAWI LA UK

Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International Solidarity Centre, 35-39 London Street, Reading, RG1 4PS .
BAADHI YA WATOA MADA MBALI MBALI WATAKAONGEA SIKU HIYO NI;DR, LUSINGU
DR, ALEX 

ASERI KATANGA (Chairman computers for AFRICA)
Engineer PRUDENCE
LIBERATUS MUSIBA (Msc, Project planning & Management)
NA WENGINE WENGI
Watanzania wote na wadau mbali mbali mnakaribishwa
MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA UTAANZISHWA SIKU HIYO KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK. MFUKO UTASAIDIA KUSAFIRISHA MAREHEMU PAMOJA NA MFIWA MPAKA NYUMBANI. KITU AMBACHO UBALOZI WETU UMESHINDWA KUKIFANYA


SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM

ni wakati wa kusimama na kusema tumechoka

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
MWENYEKITI: Chris Lukosi 07903828119

Au tutumie email kupitia chademauk@gmail.com

No comments:

Post a Comment