Tuesday, June 5, 2012

WABUNGE WATOA BURUDANI

Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi akitoa burudani jukwaani katika ukumbi wa Dar Live.

Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari naye hayupo nyuma, akitoa Burudani katika tamasha hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.

1 comment: