Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Tawi la CHADEMA Washington DC Kalley Pandukizi.
Kutoka kushoto ni Katibu wa Tawi la CHADEMA Washington DC ndugu Liberatus Mwang'ombe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Freeman Mbowe, Abuu Shatri wa Swahilivilla na Mwenyekiti wa Tawi la CHADEMA Washington DC ndugu Kalley Pandukizi.
No comments:
Post a Comment