Wednesday, September 7, 2016

HATIMAYE VIONGOZI WA CHADEMA WANAOKABILIWA NA KESI YA UCHOCHEZI WAPEWA DHAMANA MKOANI SIMIYU

Chadema imeibwaga Serikali mahakamani baada ya mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Simiyu kuzitupilia mbali hoja za upande wa mashitaka za kuzuia dhamana kwa viongozi na wanachama wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi.
Pia polisi walizuia msafara wa Mbowe wakati ukitoka mahakamani kwa muda wa Dk 45.Wote wamepatiwa dhamana.

No comments:

Post a Comment