Tuesday, August 9, 2016

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA ATEMBELEA MAONYESHO YA NANENANE MOROGORO

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika moja ya Mabanda wakati alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane mkoani Morogoro, kuangalia, kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya maswala kilimo.


No comments:

Post a Comment