Sunday, August 28, 2016

AFYA YA GODBLESS LEMA YAZIDI KUDHOOFIKA

Afya ya Mbunge wa Arusha , GODBLESS LEMA anayeshikiliwa na Polisi Mkoani Arusha ni mbaya baada ya kususia kula akiwa Mahabusu tangu alipokamatwa juzi asubuhi.No comments:

Post a Comment