Sunday, July 31, 2016

Mheshimiwa Edward Lowassa na Freeman Mbowe washiriki kuaga mwili wa Mwanahabari Joseph Senga


Pichani Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mheshimiwa Edward Lowassa akiaga mwili wa Marehemu Joseph Senga


Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akishiriki kuaga mwili wa Marehemu Joseph Senga

No comments:

Post a Comment