Sunday, June 19, 2016

SUMAYE: Magufuli anapandikiza chuki na hasira katika jamiiWaziri mkuu mstaafu Fredrick Sumayeleo, katika ukumbi wa hoteli ya African Dream mjini Dodoma, amesema ameshangazwa na kitendo cha utawala wa rais Magufuli kutumia nguvu nyingingi kukandamiza uhuru wa maoni kwa kuwa yeye ni mtu aliyechaguliwa kwa njia ya demokrasia ambapo maoni tofauti yanakuwepo na yanaruhusiwa kusemwa
Amesema vitendo hivyo badala ya kuleta amani na utulivu katika jamii ndio vinazidi kuleta hasira na chuki.
Ameongezea kusema kama rais hataki kusemwa basi atangaze rasmi kuwa yeye ni dikteta na atakaye mkosoa atakatwa kichwa au kutupwa gerezani

No comments:

Post a Comment