Saturday, November 21, 2015

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Viongozi wa Chadema wakijadiliana baada ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo, zilizokuwa zifanyike Jijini Mwanza. 

Pichani baadhi ya vijana walioshiriki kuchimba kaburi la marehemu Alphonse Mawazo anayetarajia kuzikwa kijijini kwao alipozaliwa Mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment