Thursday, October 8, 2015

ZIARA YA MESHIMIWA EDWARD LOWASSA - LONGIDO


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni, Uliofanyika eneo la Namanga, Jimbo la Longido, Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo la Longido, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Namanga, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 7, 2015.


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na baadhi ya Watoto wa Mji wa Namanga.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na aliewahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani katika Serikali ya Kenya, Mzee John Keen, alifika eneo la Namanga kuhudhulia Mkutano wa Kampeni zake, leo Oktoba 7, 2015.

Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Mji wa Namanga katika Jimbo la Longido Jijini Arusha, ukiwa umefurika kwa wingi katika Uwanja wa Namanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, anaeendelea kunadi sera zake katika maeneo mbali mbali hapa nchini.

1 comment:

  1. Tunasonga mbele. Ila wasiwasi mkubwa unagubika taifa kuhusu umeme kutokuwepo wakatibwenzetu wanaahidi neema na kuoeleka umeme vijiji vyote Tanzania wakati hata barabara ya kupelekea hizo nguzo haakuna kama sio udanganyifu na wizi nini!! Je kuna mbinu mbadala ya kuwa na kurunzi makini kwa wasimamizi wetu? Je NEC kwa Ujumla pamoja na TANESCO wanatuahidi nini kuelekea wiki nzima ya uchaguzi hadi kutangazwa matokeo. Hebu jamani kufanyike harakati tuna imani tuko pamoja. Mdau halisia.

    ReplyDelete