Friday, October 9, 2015

MAPOKEZI YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA JIJINI ARUSHA

Edward Ngoyai Lowassa na Godbless Lema wakiwasili katika viwanja vya Sinoni Unga Ltd leo Alhamisi 8/10/2015




Mwanasiasa mkongwe Nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubiwa wananchi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.










Picha kwa hisani ya Othman Michuzi

1 comment:

  1. Wapiga kura tupo nyuma yenu viongozi wetu wa UKAWA.kuna kundi LA wapiga kura tumewasahau ambao mpaka sasa hawajui nini hatima yao pamoja na ndugu na familia zao-hao ni wale ambao walikuwa wanatoa huduma kwenye taasisi za serikali na mpaka sasa wanadai pesa nyingi sana na hawajuai kama watalipwa.naomba uwahakikishie kama ukiingia madarakani utahakikisha kuwa wanalipwa ili wakupigie kura zote pamaoja na familia zao.kwa umoja wetu ikulu ni lazima.

    ReplyDelete