Thursday, October 1, 2015

RATIBA YA MIKUTANO YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA TAREHE 1 OKTOBA 2015


TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA KESHO ALHAMISI TAREHEE 1 OCTOBER 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA NDG EDWARD LOWASSA

1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana, Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri, TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers

2 comments:

  1. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  2. Asante makamanda. Hizo karatasi za kupigia kura hatujui zinasomekaje tusije kukuta kuna chama UKAWA baadaye tume ije kujeuka. Tunajua ni CHADEMA ( muungano wa vyama). Tufafanulieni mapema na wapiga kura waelimishwe. Asanteni.

    ReplyDelete