Saturday, October 24, 2015

MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI YA URAIS WA UKAWA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI DAR ES SALAAM.

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Ndugu Edward Ngoyai Lowassa akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano mkubwa wa kufunga kampeni za Urais uliofanyika katika viwanja vya Jangwani Dar es salaam.

Pichani kutoka kushoto Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mh Freeman Mbowe, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mh Edward Lowassa na Mgombea urais wa Zanzibar Mh Seif Sharif Hamad.


Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Juma Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 uliofanyika katika viwanja vya Jangwani.No comments:

Post a Comment