Saturday, September 19, 2015

ZIARA YA MHESHIMIWA LOWASSA WILAYA YA MISENYI

Mgombea Urais kupitia Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na vyama Vinavyounda Ukawa Edward Lowassa jana ameendelea na kampeni zake ambapo alikuwa wilaya ya Misenyi ambapo alilakiwa na maelfu ya watu.
Lowassa ambapo ametumia mkutano huo kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 25 Octoba mwaka huu kumchagua yeye ili aweze kuwaleta maendeleo kwa watanzania.
No comments:

Post a Comment