Sunday, September 27, 2015

ZIARA YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA JIMBONI VUNJO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Mh. Edward Lowassa akihutubia mamia ya wakazi wa jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro.

Mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo Mh James Mbatia akihutubia katika mkutano wa kampeni jimbo la Vunjo.

Mh James mbatia akisalimiana na mgombea Urais Mh Edward Ngoyai Lowassa wakati alipowasili jimboni Vunjo kwenye mkutano wa kampeni za Urais na Ubunge.No comments:

Post a Comment