Friday, September 4, 2015

MKUTANO MKUBWA WA MGOMBEA URAIS WA UKAWA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MPANDA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku.
Mbunge aliemaliza muda wake wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia kwenye Mkutano huo.
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha akizungumza na wananchi wa Mpanda.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akimkabidhi mfano wa funguo, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Jonas Kalinde, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Urais, uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.2 comments:

  1. Swali: naomba kueleweshwa kwa nini mnatumia Jamhuri ya Muungani badala ya Jamhuri ya Muungano.......?

    ReplyDelete
  2. Swali: naomba kueleweshwa kwa nini mnatumia Jamhuri ya Muungani badala ya Jamhuri ya Muungano.......?

    ReplyDelete