Friday, September 4, 2015

JUMA DUNI AFANYA MKUTANO MKUBWA LINDI

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi
Mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Habib Mnyaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mbunge wa Lindi mjini akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Guninita akizungumza wakati wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mfuasi wa Ukawa wakati alipowasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema,Juma Duni Haji akiteta jambo na mbunge wa Mkanyageni, Zanzibar, Habib Mnyaa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoni Lindi
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema,Juma Duni Haji akiteta jambo na mbunge wa Lindi mjini, Salum Barwani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mtama mkoni Lindi
Mgombea ubunge wa Ukawa jimbo la Mtama, Suleiman Mathew kupitia Chadema akiwa amebebwa juu na wafuasi wake wakati akiingia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Sokoni mkoani Lindi, uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji.


Wafuasi wa Ukawa wakishangilia.
Wafuasi wa Ukawa wakiwa na mabango yao.
No comments:

Post a Comment