Saturday, September 5, 2015

MGOMBEA UBUNGE UKAWA KUPITIA CUF RASHID MWINYISHEHE "KINGWENDU" AENDELEA NA KAMPENI ZA UBUNGE

Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” wakati wa mkutano wa kampenzi uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kulia) akiteta jambo na mgombea wa jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”

Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)

Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.


Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo.i uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.


No comments:

Post a Comment