Sunday, September 6, 2015

EDWARD LOWASSA ALAKIWA NA MAMIA TABORA

Mh Edward Lowassa akiwasalimu mamia ya wakazi wa Tabora
Mh Edward Lowassa akiwahutubia na kunadi sera zake kwa wananchi Tabora.
Edward Lowassa akiteta jambo na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, wakati wakitoka kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni, mjini Tabora, Septemba 5, 2015.
Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa mji wa Tabora, waliofurika kwa wingi kwenye uwanja wa Town School, kulikofantika mkutano wa kampeni za kunadi sera za mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Meh. Edward Lowassa, Septemba 5, 2015.
David Kafulila, akimwaga cheche zake.
Mhe. Fredrick Sumaye, akisisitiza jambo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Tabora.
Picha na Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment