Wednesday, September 9, 2015

JAMES MBATIA AANZA KAMPENI KWA KISHINDO VUNJO

Mh James Mbatia akipungia mkono wakazi wa Vunjo akiwa katika Msafara ukielekea uwanja wa michezo wa Chuo cha Ualimu cha Marangu kwa ajili ya uzinduzi wa mkutano wa Kampeni.

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo James mbatia kaiwa ameongozana na mkewe, Catherine Mbatia na mtoto wao Chelsea wakiingia katika uwanja wa michezo wa Chuo cha Ualimu Marangu kwa ajili ya mkutano wa ufunguzi rasmi wa kampeni.Msafara wa pikipiki ukimsindikiza mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia chama cha NCCR-Mageuzi na UKAWA ,James Mbatia wakati wa kwenda kufanya uzinduzi wa kampeni katika jimbo jilo.
Msululu wa magari ukimsindikiza mgombea huyo.No comments:

Post a Comment