Friday, August 7, 2015

TAARIFA YA NEC KUHUSU KUKAMILIKA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA BVR
2 comments:

  1. Naomba kuuliza BVR ziko wapi?

    ReplyDelete
  2. Kigoma hali si shwari. Majina mengi hayajaonekana kwenye daftari la awali. Kwa mfano katika kituo cha shule ya msingi Gwarama iliyoko kata ya Gwarama, wilaya ya Kakonko mkoani hapa watu zaidi ya 800 hawamo licha ya kuwa na vitambulisho. Pia, kituo cha kijiji jirani kitabu kina mpiga kura mmoja tu. Ni majanga kwa kuwa hata WEO alipoulizwa alisema anatarajia kupata majibu kutoka makao makuu; majibu yale yale asubuhi mpaka jioni. Tulagowe.

    ReplyDelete