Friday, August 14, 2015

MSAFARA WA LOWASSA WAZUILIWA KWA MUDA KIJIJINI MARORO

Polisi mkoani Kilimanjaro wakiwa wameuzuia msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kupitia Chadema na anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa katika kijiji cha Maroro, Wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, hii leo wakati anakwenda kuhudhuria mazishi ya Kada na Mwasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM, mzee Peter Kisumo huko Usangi.


Lowassa akizungumza kwa simu huku akiwa na Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Philemon Ndesamburo.


Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akijaribu kuzungumza na Polisi.
1 comment:

  1. Ukweli halisi ni kwamba Raid wa awamu ya tano angefika msibani angemfunika huyu ambaye watu wamemxhoka huo wrote ni woga wao tuwasehe siku zao zinahesabika

    ReplyDelete