Thursday, August 13, 2015

MCHUNGAJI MSIGWA AMGALAGAZA VIBAYA SANA HUMPHREY POLEPOLE KWENYE MDAHALO

1 comment:

  1. Pamoja na Polepole kuwa na "tongue of eloquence" bado pint zake ni weak sana, nimemsikiliza, nimerudia mara kadhaa huku nikitake notes:

    1. Hoja yake imejikita kwenye ufisadi wa mtu mmoja tu Lowassa na kuach mfumo wote wa CCM (ambao ni ufisadi kuanzia mjumbe wa nyumba kuni, tumekuwa tukiwahonga hata kupata barua ya kufungulia account bank tu Tsh 5,000).

    2. Pili anasema CCM wakimchagua asiye fisadi, na swali ambalo hawezi hata jibu ni nani CCM sio fisadi? Maana kwao uisadi ni mfumo na hasa ukiwa kiongozi na ndio siri ya wao kung'ang'ania hadi kudhuliana wakati wa uteuzi na kwa maana hiyo hayupo na hata Magufuli ni fisadi. Na kama ni hear say kwa Magufuli hata kwa Lowassa ni hear say maana serikali hiyo hiyo ya CCM imeshindwa mshitaki huyu ambaye Polopole ana ushahidi yeye kama mwana CCM na kuamini hafai.

    3. Kwa upande wa Mch Msigwa ana point ingawa anapata shida sana kuiwakilisha. Yeye kama Mchungaji, watu hukosea na jhutubu na kuzaliwa upya kiroho. Nadhani hatujaambiwa, lakini labda Lowassa katubu na kuwaambia viongozi wa UKAWA, kwamba anamkataa shetani, na mambo yake yote na kuzaliwa upya katika UKAWA akatubu na ndio ikawa mwanzo wa kujiunga.

    ReplyDelete