Sunday, August 2, 2015

LOWASSA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS CHADEMA

Mh Edward Lowassa akipungia mkono mamia ya wapenzi wa CHADEMA wakatia anarudisha fomu za kugombea urais.

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara Prof Abdalla Safari (kushoto) akipeana mkono wa shukrani na Mtia nia ya urais kwa Chadema, Edward Lowassa baada ya kupokea fomu zake.
Prof Safari akiangalia kwa makini fomu alizorudisha Mh Edward Lowassa.
Mwanasheria wa CHADEMA Ndugu Mabere Marando akipokea fomu za Urais alizorudisha Mh Edward Lowassa.
Mwanasheria wa Chadema Ndugu Mabere Marando akikagua fomu za Urais alizorudisha Mh Edward Lowassa.


Waheshimiwa wabunge wa Chadema wakishuhudua tukio la kurudisha fomu ya kugombea Urais alizorudisha Mh Edward Lowassa makao makuu ya Chadema.


1 comment:

  1. Wako wapi Dr. Slaa na John Mnyika, jamani ukimya wa makamanda hawa ni nyenzo ya CCM kutugawa.

    ReplyDelete