Monday, August 3, 2015

DR MAKONGORO MAHANGA AJIUNGA NA CHADEMA

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mhe. Dkt. Makongoro Milton Mahanga akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake Segerea Mwisho jijini Dar es Salaam, ametangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tangu leo, Jumapili Agosti 2, 2015.


1 comment:

  1. Karibu sana Makongoro, bora umekuja sasa urushe bomu upande wa pili ikibid,,,,In Mbowe's voice

    Saidia kujenga UKAWA Segerea ,,,,bila ya kuomba ubunge, huo ni Uzalendo uliotukuka

    ReplyDelete