Friday, July 31, 2015

Mh Edward Lowassa achukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya Urais kupitia CHADEMA

Mh Edward Lowassa akiwa ameshika fomu aliyochukua leo ya kuomba kuteuliwa nafasi ya Urais kupitia CHADEMA
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Freeman Mbowe akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa mara alipochukua rasmi fomu ya Kugombea Urais kupitia CHADEMA.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiwa ofisi za Chadema Kinondoni Mtaa wa Ufipa tayari kwa kumkabidhi Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa fomu ya kugombea urais.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa akitia saini kitabu maalum tayari kwa kukabidhiwa fomu ya kugombea Urais.
Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Salum Mwalimu na Mwanasheria wa Chadema Mh Tundu Lissu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea na Mh Edward Lowassa wakati wa Sherehe ya kumkabidhi fomu ya kugombea Urais zilizofanyika makao makuu ya Chadema Kinondoni Dsm.


No comments:

Post a Comment