Monday, June 15, 2015

SEMINA YA WATIA NIA UBUNGE CHADEMA KANDA YA KATI YAFANYIKA DODOMA KWA MAFANIKIO

Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela akiwa na Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu walipokuwa katika Semina ya watia nia wa ubunge Kanda ya Kati iliyofanyika Dodoma.

Pichani Mh Tundu Lissu kulia akiwa na Rajab Msabaha Kauzela.

Mh Joseph Mbilinyi Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Mikumi (wa nne kutoka kushoto) akiwa na Mtia nia wa Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela (wa tatu kutoka kushoto) na watia nia wengine wa Kanda ya kati wakiwa kwenye semina Dodoma Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA Mh Salum Mwalimu akiwa na Mtia nia wa CHADEMA Kilosa Ndg Rajab Msabaha Kauzela(wa kati)

Rajab Msabaha Kauzela akimkabidhi mchango wake Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa Mh Salum Mwalimu walipokuwa katika semina ya watia nia wa Ubunge kanda ya kati iliyofanyika Dodoma.

No comments:

Post a Comment