Rajab Msabaha Kauzela mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa ambaye pia alikuwa Katibu Mwenezi wa Tawi a CHADEMA Washington DC
Rajab Msabaha Kauzela (wa nne kutoka kushoto) akiwa na mnadhimu wa kambi ya upinzani ambaye pia ni mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi wengine wa chadema Morogoro.
Rajab Msabaha Kauzela akiwahutubia wakazi wa Kilosa waliokusanyika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara, akielezea mikakati yake endapo wana-Kilosa watampendekeza kuwamwakilishi wao katika nafasi ya Ubunge kupitia CHADEMA.
Pichani Rajab Msabaha Kauzela akiwa na Wazee wa Kilosa akiomba baraka zao ili wakubali kumpitisha kuwa mwakilishi wao katika Kinyang'anyiro cha Ubunge Jimbo la Kilosa
Wanafamilia wakimsikiliza Rajab Msabaha Kauzela alipokuwa akibadilishana nao mawazo kuwaelezea azma yake ya kutaka kugombea Ubunge Jimbo la Kilosa.
Rajab Msabaha Kauzela akiwa amepiga picha pamoja na wanafamilia siku alipokuwa anawaambia azma yake ya kutaka kugombea Ubunge Jimbo la Kilosa.
No comments:
Post a Comment