Sunday, June 28, 2015

MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MARYAM SALUM MSABAHA AJITOLEA JENGO KUWA OFISI ZA CHAMA ZANZIBAR

Mbunge wa viti maalum kutoka CHADEMA Zanzibar Maryam Salum Msabaha amejitolea jengo ambalo litakuwa ofisi za chama Mkoa wa mjini Magharibi Zanzibar. Jengo hilo ambalo lipo katika hatua za mwisho za ujenzi litatumika kufanyia shughuli mbalimbali za Chama. Jengo hilo litakuwa linaratibu shughuli za ofisi ya wilaya ya Mjini Magharibi na Ofisi ya Jimbo la Mpendae. Pia litakuwa na ofisi inayoratibu shughuli zote za Mabaraza yote ya Mkoa.Endelea kwa Picha zaidi...... 


No comments:

Post a Comment