Saturday, June 27, 2015

KAMANDA RAJAB MSABAHA KAUZELA ARUDISHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KILOSA KWA KISHINDO

Picha Juu na Chini: Rajab Msabaha Kauzela mwenye kofia ailyechuchumaa akiwa na wakazi wa Jimbo la Kilosa waliomsindikiza wakati anarudisha fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la KilosaPicha Juu na Chini: Msafara wa waendesha bodaboda uliomsindikiza Rajab Msabaha Kauzela wakati anarudisha fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kilosa.


No comments:

Post a Comment