Monday, June 1, 2015

DR WILBROAD SLAA ATEMBELEA KUKAGUA ZOEZI LA UWANDIKISHAJI WANANCHI KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MKOANI MBEYA

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk, Wilbroard Slaa , akizungumza na wananchi waliojikeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga katika kijiji cha Igamba wilayani Mbozi jana.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk, Wilbroard Slaa (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa mwandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, Mailosy Bukuku namna mashine ya BVR zinavyofanya kazi katika kituo cha Igamba Wilayani Mbozi, Mbeya jana
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk, Wilbroard Slaa (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa mwandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, Eldah Chakachaja namna mashine ya BVR zinavyofanya kazi katika kituo cha Igamba Wilayani Mbozi, Mbeya jana wakati Dk Slaa alipfanya ziara ya kutembelea vituo vya kujiandikia wananchi wilayani Mbozi Mbeya.

No comments:

Post a Comment