Monday, May 25, 2015

TASWIRA: MKUTANO WA CHADEMA ULIOFANYIKA TANGANYIKA PACKERS KAWE

Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huo
Mh Freeman Mbowe, Halima Mdee na John Mnyika wakizindua kitabu cha Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee
Gwajima akiwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA
Mchungaji Gwajima akiongozwa na Halima Mdee kwenye jukwaa kuu

Wafuasi wa CHADEMA wakisikiliza hotuba ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe

Umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers.

No comments:

Post a Comment